Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) umeingia makubaliano na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) ili ...
Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan na Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia.