MKUTANO wa 19 wa Viongozi kundi la G20 unaanza leo Jumatatu mjini Rio De Jenairo Brazil ambapo ushiriki wa Tanzania unatajwa ...
MKURUGENZI Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, amesema juhudi za kuboresha mifumo ya kidijitali, mazingira thabiti ya ...
ZIKIWA zimebaki siku nane kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, takwimu za awali kuhusu namna vyama ...
USALAMA wa majengo yaliyoko Kariakoo, jijini Ilala umeibua jambo, wamiliki wake wako matumbo joto: Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongoza timu ya wakaguzi majengo ku ...
KATIKA kilele cha Siku ya Mtoto Njiti, kilichohitimishwa jana Novemba 17, 2024 Taasisi ya Doris Mollel Foundation imezindua Mtandao wa Familia za Watoto Njiti nchini ili kutoa elimu, msaada na kuhamas ...
MAAFANDE wa KVZ FC, wamejikuta wakibanwa mbavu na Wanamaji KMKM SC kwa kutoka sare tasa katika mechi ya mwendelezo wa Ligi ...
KOCHA mpya wa Yanga, Sead Ramovic raia wa Ujerumani, ameonesha furaha kubwa kupata nafasi ya kuifundisha timu kubwa kama hiyo ...
MWANZO wa msimu wa kusuasua kwa Real Madrid umechangiwa na jeraha baya alilopata beki wa kati, Eder Militao. Miezi ya mwanzo ...
WAKATI dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia ...
JUMLA ya penalti 25 zimepatikana kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea msimu huu wa 2024/25, hadi kufikia raundi ya 10 ...
KULIKUWA na hisia tofauti za kutofahamika kwa Harry Kane kuwekwa benchi Alhamisi pale jijini Athens wakati England ikicheza ...
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amesema ushindi wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Ethiopia juzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, umewapa chachu na nguvu ya ku ...