Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia Mkoa wa Kikodi Kagera, imeendesha operesheni kubwa ya kudhibiti ukwepaji wa kodi ...
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia ...
Hivi karibuni serikali ya Tanzania ilithibitisha watu watano kati ya wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya homa ya Marburg katika mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
Bukoba. Wakati Robert Razalo, mkazi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, akisimulia anayopitia baada ya gari lake aina ya ...
anasema Abdul Nuri. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema ajali ilitokea muda wa saa mbili na dakika karibu 20, ilikuwa na jumla ya watu 43, katika hao 39 ni abiria, wawili wahudumu na ...
Katibu wa Matawi ya Yanga mkoani Kagera Jamali Kalumuna aliwaongoza wadau kufungua kikao cha kutoa kauli ya pamoja kuwa ...