REA inaendelea kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 ya kilo sita jijini Mbeya kwa bei punguzo ya Sh 20,000 tu.