News

Umuvugizi wa leta ya Congo Brazzaville avuga ko iby'ubwo butaka bwari bwatiwe u Rwanda byasheshwe kuko kompanyi zo mu Rwanda ...
Mbere, Mutamba yari yaravuze ko atazigera yitaba umushinjacyaha avuga ko uwo mushinjacyaha na we ubwe hari ibyaha akekwaho.
Dar es Salaam. Mwalimu wa Shule ya Msingi Kilulu, iliyopo wilayani Bariadi, mkoani Simiyu, Emmanuel Pamba Everist, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ...
Duru zimeiambia DW kwamba rais huyo wa zamani wa Kongo aliwasili Goma usiku wa manane kwa njia ya barabara. Na alipokelewa na kiongozi wa kundi la waasi la AFC/M23, Corneille Nangaa. Kabila ...
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amesema anapanga hivi karibuni kutembelea mji wa Goma unaodhibitiwa na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda. Kabila aliitaja ...
mshauri mkuu kwa Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Massad Boulos, binafsi aliwaita Rais wa Kongo Félix Tshisekedi na Rais wa Rwanda Paul Kagame kuwasilisha muhtasari wa maandishi ...
Likishirikiana na Kanisa la Kiprotestanti la Kongo katika rasimu ya Mkataba wa Kijamii wa Amani na Kuishi Vizuri pamoja nchini DRC, Kanisa Katoliki la Kongo kwa mara nyingine tena limesisitiza ...