Mihic alifanya kazi kwa muda mfupi kama msaidizi wa kocha katika klabu ya Al-Samiya Sporting Club ya Kuwait, bingwa wa Ligi ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye ...
"Tamasha letu mwaka huu lina mwamko mkubwa, tumeanza kupokea wadau kutoka ndani na nje ya nchi ambao wanakuja kwa ajili ya ...
Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya ...
KAMA ulizaliwa Februari 5, unacheza soka na huna maajabu, basi achana na boli, kwani hiyo itakuwa kazi isiyokuhusu.
Bao la dakika za jioni la Jentrix Shikangwa dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye Uwanja wa KMC Complex jana lilitosha kuipa Simba ...
Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan ...
Katika maadhimisho hayo, yaliyopewa jina la Jide Silver, mwimbaji huyo ataanza kwa kuijengea jamii ufahamu juu ya ugonjwa wa saratani akishirikiana na Hospitali ya Ocean Road, siku ya Juni 9.
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amefunguka mengi ikiwamo kuwapiga vijembe baadhi ya makocha waliowahi kumnoa hawajui mpira.
KATIKA sehemu iliyopita ya mfululizo wa makala za leseni za klabu upande wa timu za vijana, wadau wamezungumza mambo ...
WAKATI maswali yakiwa mengi kuhusu kuondoka kwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic aliyekuwa kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud na msaidizi wake Nassim Anisse wametua kwenye Uwanja wa ndege ...
MISIMU miwili iliyopita, mashabiki wa Yanga walidhani ni ndoto kuuzwa kwa mshambuliaji Fiston Mayele. Lakini Pyramids ...