Mvutano ulikuwa umeongezeka hivi karibuni katika Ukanda wa Gaza, lakini hekima iliyozoeleka ni kwamba si Hamas, kundi la Kiislamu linalotawala huko, wala Israel waliotaka vita. Badala yake ...
Nigeria imekuwa ikipambana na kundi la kigaidi la Boko Haram tangu mwaka wa 2009 bila mafanikio .Je Boko Haram linasimamia nini na mbona linaihangaisha serikali ya Nigeria na mataifa mengine ...