Iwapo kila mmoja atasimama kikamilifu katika nafasi yake, ni dhahiri kwamba amani, upendo, umoja na mshikamano vinavyoimbwa kila siku vitashamiri na Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani. Mwaka ...