Mashamba yaliyoathirika yanamilikiwa na wakulima 31 ambao ni wanachama wa Amcos za Magunga na Ifuma zilizopo wilayani humo.
Rais John Magufuli amempongeza mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kwa kuwachapa viboko wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya kwa madai ya kuhusika ...